VIFO AJALI YA SAME VYAFIKIA 42, DNA YATUMIKA KUTAMBUA MIILI
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-07-02
Просмотров: 4417
Idadi ya vifo vya waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba barabara kuu ya Moshi-Tanga wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwa kugongana uso kwa uso na kuungua moto imeongezeka na kufikia vifo 42 huku Serikali ikitarajia kesho kukabidhi miili ya wa marehemu hao katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC kwa ndugu zao mara baada ya kupokea majibu ya vina saba ya kutambulika kwa miili hiyo kutoka Mkemia Mkuu wa Serikali.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: