NENO LA SIKU | Luka 1 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Utasa | Isaac Javan
Автор: Neno La Siku
Загружено: 2024-05-23
Просмотров: 3880
Leo tunasoma kitabu cha Luka sura ya kwanza, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda roho ya utasa. Hii ni aina ya roho inayotenda kazi kwenye mwili wa mtu kama vile kwenye tumbo la uzazi, na kwenye mikono.
Lakini pia roho ya utasa ni aina ya roho inayotenda kazi kwenye ardhi. Na watu wengi wamefungwa na wanateswa na roho ya utasa bila kujua. Lakini imempendeza Mungu siku ya leo tupate kuomba ili tuishinde hii roho.
Katika somo la leo, tutaangalia na kujifunza tafsiri za utasa, maeneo ambayo utasa unafanya kazi, na tutaomba kwa pamoja ili Mungu atufungue na kutuweka huru. Ninakuomba uweke imani yako kwa YESU, na umruhusu akuguse na kukufungua. Damu ya YESU ikufunike na BWANA atende jambo jipya kwa ajili yako siku ya leo. Amen
Isaac Javan
+255 745 76 45 72
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: