KIJANA AONESHA KIPAJI CHA AJABU, ATENGENEZA NDEGE, TRENI, LORI LINATUMIA UMEME,ATUMIA ZAIDI YA MWEZI
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2024-11-15
Просмотров: 31223
Kijana huyu kaiambia Ayo TV kwamba katumia Mwezi mmoja na wiki mbili kwaajili ya kutengeneza gari lake linalotumia umeme wa betri linalochajiwa kwa kutumia nishati ya jua.
Mawasiliano ya kijana huyu aliyeishia kidato cha nne kutoka Kigoma mbunifu wa gari unaweza kumtafuta kwa namba hizi +255 743 356 903 au +255 714 825 768.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: