Kwa nini BAKWATA si chombo cha Waislamu wote? | GUMZO MAALUM NA SHEIKH PONDA
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2026-01-07
Просмотров: 15831
Sheikh Ponda Issa Ponda, mmoja wa Waislamu 12 waliofunguwa shauri mahakamani kupinga hatua ya serikali kulitambuwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kuwa chombo pekee kinachowakilisha Waislamu, anazungumzia hapa hukumu na kesi hiyo na kile inachomaanisha kwa mustakabali wa waumini nchini mwake.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: