Siri #1 Ya Kupata Wateja na Kuonekana Zaidi Airbnb
Автор: Uza Kitajiri
Загружено: 2025-07-11
Просмотров: 257
Je, umechoka kutafuta wateja kwenye Airbnb bila mafanikio? Huenda unafanya mambo mengi kwa usahihi, lakini kuna kitu kimoja muhimu mno ambacho wengi wanakosa,na hicho ndicho kinachokuzuia kupata bookings. Video hii itakufundisha jinsi ya kubadilisha jambo hili moja la msingi, ambalo linabadilisha kabisa jinsi wageni wanavyokuona na kukuamua kama mwenyeji.
Jifunze mbinu hii itakayokuleta wageni haraka na kuanza kuongeza bookings.
🎓 JIUNGE NA DARASA LA AIRBNB KITAJIRI (Kuanzia 50,000/=)
(Tengeneza 800,000 hadi Milioni 5 kwa Mwezi — ukiwa na mtaji mdogo au bila mtaji kabisa.) BOFYA HAPA KUJIUNGA 👉🏾👉🏾 https://wa.link/p1n4kt
📗 PATA KITABU: Vunja Minyororo ya Umasikini (5,000/=) BOFYA HAPA 👉🏾👉🏾 https://wa.link/urhcq8
Usisahau kusubscribe ili usipitwe na mafunzo mengine ya kitajiri.
Tazama Video Za Awali:
• Ifahamu Biashara ya AirBnB Ndani Ya Dakika 9
• Majibu kwa Maswali Muhimu Kabla ya Kuanza ...
• Namna Ya Kuanza AirBnB Kwa Mtaji Mdogo Au ...
• Airbnb Ni Nini? Wengi Wanadhani Ni Biashar...
• Vigezo 5 vya Kuanza Biashara ya AirBnB Bil...
• Majibu kwa Maswali Muhimu Kabla ya Kuanza ...
• USIJENGE AIRBNB MIKOANI BILA KUTAZAMA VIDE...
Orodha za video zetu ipo hapa: • AirBnB Kitajiri: Namna ya kutengeneza 800,...
🔗 Tufuate pia kwenye mitandao ya kijamii:
/ airbnbkitajiri
https://www.tiktok.com/airbnbkitajiri/
Mawasiliano ya Kiofisi:
Namba: 0746381961
Barua pepe: [email protected]
#Tanzania #Airbnb #AirbnbKitajiri #Daressalaam #shorttermrentals #Masoko #Tajiri #propertyinvestment #Fursa #pesa #Zanzibar #Arusha #zanzibar #airbnbtanzania #tanzania #airbnbarusha #biashara #airbnbzanzibar #Airbnbninini #Biasharayaairbnb #fursazabiashara #Kenya #rentalarbitrage #AirbnbTanzania #WatejaAirbnb
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: