Maisha ya Kazi za Shamba Canada 🇨🇦 | Real Farm Jobs for Africans 2025!
Автор: leza tv canada
Загружено: 2025-06-09
Просмотров: 12865
Je, unatafuta kazi halali za mashambani Canada? Katika video hii ya Leza TV Canada, nimeenda kutembelea mashamba ya kweli ili kukuonyesha mazingira halisi ya kazi hizi. Hii ni fursa kwa Wakenya, Wanyarwanda, Watanzania, Wacongo na Waafrika wote wanaotaka kuja kufanya kazi Canada kupitia njia halali. Tazama hadi mwisho ujifunze kuhusu mshahara, maisha ya shambani, na jinsi ya kupata kazi hizi kupitia mawakala walio na leseni.
🇨🇦 Tazama video hii ikiwa unatafuta:
Kazi za farm worker Canada 2025
Employer-specific work permit
Maisha ya wafanyakazi wa mashamba Canada
Kazi Canada kwa Waafrika
Jinsi ya kuja Canada kupitia kazi
🔔 *Subscribe kwa Leza TV Canada kwa video zaidi kuhusu maisha, kazi na uhamiaji Canada.*
#KaziCanada #FarmJobsCanada #LezaTV #WaafrikaCanada #JobsForAfricans #Canada2025 #FarmWorkerPermit #FarmJobsCanada #WaafrikaCanada #CanadaJobs2025 #MashambaCanada #WorkInCanada #CanadaImmigration #EastAfricansInCanada #EmployerPermit
unaweza kujiunga kwenye group letu la what's app bure link hii hapa chini 👇 👇👇👇👇👇
https://chat.whatsapp.com/FmGBr19PBPp...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: