Caregiver Canada 🇨🇦 | Faida, Changamoto na Ukweli Kuhusu Kazi ya Kuhudumia Wazee
Автор: leza tv canada
Загружено: 2025-06-06
Просмотров: 6068
Katika video hii ya Leza TV, tunazungumza na dada mmoja anaye fanya kazi ya caregiver hapa Canada, akielezea kwa undani kuhusu faida, changamoto, mshahara, mazingira ya kazi, na hali halisi ya kuhudumia wazee – wa kiume na wa kike.
Hii ni fursa nzuri kwa watu kutoka Afrika Mashariki (Kenya, Tanzania, Uganda, DRC n.k) wanaotafuta kazi halali za caregiver Canada 2025 au wanataka kujua maisha ya kweli ya wafanyakazi wa huduma ya wazee.
👵 Mambo tutayojadili:
Mshahara wa caregiver Canada
Maisha ya kila siku kazini
Changamoto na vikwazo kazini
Ushauri kwa wanaotaka kuapply
🔴 Subscribe kwa Leza TV kwa video zaidi kuhusu kazi, uhamiaji, maisha Canada na USA!
#CaregiverCanada
#KaziCanada2025
#LezaTV
#KaziKwaWakenyaCanada
#CaregiverLife
#KuhudumiaWazeeCanada
#CanadaJobsForAfricans
#MaishaCanada
#WorkInCanada
#EastAfricansAbroad
unaweza kujiunga kwenye group letu la what's app bure link hii hapa chini 👇
https://chat.whatsapp.com/FmGBr19PBPp...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: