DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Mchana | 19.12.2025 | Swahili News
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-12-19
Просмотров: 8627
Tuliyo nayo kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Mchana | 19.12.2025 | Swahili News:
Umoja wa Ulaya watoa mkopo usio na riba kuisaidia Ukraine katika vita
UN: Watu nusu milioni wameyambikizia makaazi yao Kivu Kusini tangu mwanzoni mwa Desemba
Amnesty Int': Vikosi vya usalama vya Tanzania vilitumia nguvu kubwa kupita kiasi, ikiwemo mauaji, kuzima maandamano ya uchaguzi kati ya tarehe 29 Oktoba na 3 Novemba 2025.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni akosolewa kuhusu matayarisho ya kuwapa polisi na wanajeshi risasi 120 kwa ajili ya kukabiliana na vurugu za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Januari mwakani.
#DWKiswahili #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast
Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: