RC KHERI JAMES ASHAURI WANANCHI KUTUMIA VIZURI CHAKULA KUEPUKA NJAA
Автор: iringa mpya
Загружено: 2025-12-19
Просмотров: 36
MKUU wa mkoa wa Iringa, Kheri James ameshauri wananchi mkoani humo kutumia vizuri chakula sambamba na kupanda mbegu zinazovumilia ukame kutokana na dalili za uwezekano wa mvua kuwa chache mwaka huu hali inayoweza kuathiri uzalishaji wa mazao na upatikanaji wa chakula.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: