RC KHERI JAMES: MARUFUKU KUZUIA MWILI WA MAREHEMU KISA MADENI YA MATIBABU
Автор: iringa mpya
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 15
SERIKALI mkoani Iringa imesema itachukua hatua kali za kinidhamu kwa mtumishi yoyote katika vituo vya afya na hospitali za umma na binafsi mkoani humo atakayebainika kuhusika na kitendo cha kuzuia miili ya marehemu kwa kwa sababu za madeni ya matibabu na kuongeza kuwa kitendo hicho ni kinyume na taratibu na kinaonyesha ukatili kwa familia zilizopoteza wapendwa wao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: