DC KHERI JAMES aanza na moto Mbulu /TAKUKURU fuatilia hawa
Автор: KAHITILA 255
Загружено: 2023-02-10
Просмотров: 707
Mkuu wa wilaya ya Mbulu, KHERI JAMES amemwagiza kamanda wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya hiyo pamoja na kamati ya ulinzi na usalama kuhakikisha wanafuatilia miradi yote ya maendeleo inayoletwa ndani ya Wilaya hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: