TUPO TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI WA AWALI, LA KWANZA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 224 UKEREWE.
Автор: Ukerewe District Council
Загружено: 2024-01-03
Просмотров: 92
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Ndg Emmanuel Sherembi leo januari 03, 2023 amedhibitisha kuwa halmashauri hiyo ipo tayari kuwapokea wanafunzi walioandikishwa kuanza darasa la Awali, la kwanza na wale waliopangiwa na serikali kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2024 kwa kuwa miundombinu ya vyumba vya madarasa, vyoo na bweni iliyokuwa ikijengwa ya miradi ya BOOST, SERIKALI KUU, EP4R na SEQUIP imekamilika.
Sherembi amesisitiza Wazazi kuwapeleka watoto wao katika Shule walizoandikishia na kupangiwa na serikali mapema Januari 08, 2024 ili kuwasaidia Walimu kutimiza malengo na mikakati ya Serikali na yale waliyojipangia kama Shule katika kuinua taaluma Shuleni na Wilayani Ukerewe.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: