NENO LA SIKU | Yohana 13 | Maombi Ya Kufunguliwa Hatua za Maisha
Автор: Neno La Siku
Загружено: 2024-10-22
Просмотров: 5791
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na tatu, na tunaenda kufanya maombi ya kufunguliwa hatua za maisha. Lengo la maombi haya ni kukusaidia utoke mahali ulipokwama kiroho, ili uweze kupiga hatua kwenye maisha. YESU akufungue, na kukupa ushindi kupitia maombi ya leo, na ukaanze kupiga hatua zenye ushindi mkuu ndani ya YESU. Ubarikiwe sana. Ameen!
Isaac Javan
+255 745 76 45 72
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: