Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

NENO LA SIKU | Luka 11 | Maombi Ya Kufungua Riziki Yako | Isaac Javan

Автор: Neno La Siku

Загружено: 2024-06-12

Просмотров: 8145

Описание:

Leo tunasoma kitabu cha Luka sura ya kumi na moja, na tunaenda kufanya maombi ya kufungua riziki yako. Katika ulimwengu wa roho, riziki ya mtu kwenye maisha inaweza ikafungwa na pia inaweza ikafunguliwa.

Riziki inapofungwa ni pale ambapo mambo yako yanapoanza kukwama kwa namna ambayo unashindwa kupata mahitaji ya maisha yako. Na shetani amekuwa akifunga riziki za watu na kuwafanya wapite mahali pagumu kiuchumi.

Lakini pamoja na yote, habari njema ni kwamba tunao ushindi ndani ya YESU. Aliposema tuombe Mungu atupe riziki zetu kila siku, alikuwa anatufungulia mlango wa ushindi katika ulimwengu wa roho. Alikuwa anatungulia njia ya ukombozi katika ulimwengu wa roho. Na katika maombi ya leo, tunaenda kufungua riziki zetu zilizofungwa na shetani.

Nami nakuombea, utakapokuwa unaomba upokee msaada wa Mungu, na upate ushindi wako kwa utukufu wa jina la YESU. Nakuombea maisha yako yabadilike kuanzia leo, na kama ulikuwa unapita mahali pagumu kiuchumi, basi YESU akupe msimu mpya na mwanzo mpya wenye baraka, ushindi, na utoshelevu ndani yake. Mungu akubariki sana na akupe ushindi mkuu. Damu ya YESU ikufunike na kukulinda. Amen!

Isaac Javan
+255 745 76 45 72

NENO LA SIKU | Luka 11 | Maombi Ya Kufungua Riziki Yako | Isaac Javan

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

NENO LA SIKU | Luka 12 | Maombi Ya Toba Kwa Dhambi Za Siri | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 14 | Maombi Ya Kukamilisha Mambo Yako | Isaac Javan

Imani Yako Inaweza Kukupa Kila Kitu au Kukunyima Kila Kitu

Невидимая Империя 7 тайн армянского народа, которые объясняют всё

siri za kuomba kwa kunena kwa lugha - Mwl Davidney Kaale

JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU KATIKA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 13-10-2022

NENO LA SIKU | Matendo 18 | Maombi Ya Kushinda Mashambulizi Ya Kiroho  | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Yohana 9 | Maombi Ya Kufunguliwa Macho Ya Rohoni | Isaac Javan

FAIDA TANO ZA KUFUNGA NA KUOMBA - Innocent Morris

MAOMBI YA KUFUNGUA MBINGU // OMBA MPAKA MBINGU ZISEME

NAMNA YA KUTIISHA ULIMWENGU WA ROHO UKIWA KATIKA ULIMWENGU WA MWILI | PASTOR SUNBELLA KYANDO

NENO LA SIKU | Luka 17 | Maombi Ya Kushukuru | Isaac Javan

JINSI YA KUKUA KIROHO Sehemu ya Kwanza- Innocent Morris

JINSI YA KUSIMAMA NA DAMU YA YESU KWA LOLOTE  || PASTOR GEORGE MUKABWA  - JRC || 06/11/2022

NENO LA SIKU | Luka 15 | Maombi Ya Toba Na Urejesho | Isaac Javan

#LIVE: MAOMBI YA KUFUNGULIWA MACHO YA ROHONI // NURU

NENO LA SIKU | Yohana 7 | Maombi Ya Kushinda Wanaotaka Kukuua | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 13 | Maombi Ya Kuvunja Vifungo Vya Ndoto | Isaac Javan

MUNGU ANAKUANDAA KWA KILE ALICHOKUANDALIA || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:

NENO LA SIKU | Matendo 22 | Maombi Ya Kushinda Maudhi  | Isaac Javan

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]