MSANII MBOSSO KHAN APELEKA TABASAMU SHULE YA MSINGI KAZITA MKOANI TANGA |PAWA YATIKISA SHULENI.
Автор: MOKAH360
Загружено: 2025-08-27
Просмотров: 1255
msanii wa bongo fleva Yusuph kirungi almaarufu mbosso khan,
ametembelea shule ya msingi kazita iliyopo mkoani tanga kata ya muheza kijiji cha kazita,
kwenda kurudisha shukrani zake za dhati kwa kupeleka mahitaji muhimu kwa wanafunzi wa shule hiyo baada ya kusikia ubunifu ambao umefanywa na mwalimu wa shule hiyo mwalimu kalesi kwa kubadilisha mistari ya wimbo wa pawa na kuuweka kitaaluma zaidi ili kutoa hamasa kwa wanafunzi wake,
kitu hiko kimemgusa msanii mbosso na wadau wengi nchini na kutoa pongezi kwa mwalimu huyo huku msanii mbosso akifunga safari kwenda hadi shuleni hapo.
gusa video kujionea tukio zima 📤
#mbosso #khan #khanmusic #facts #tanding #trending #pawa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: