MOKAH360



*360° ON AIR, ni channel yako ya habari, burudani, na michezo kutoka Afrika Mashariki. Tunakuletea taarifa za kisasa, za kina, na za kuaminika kutoka ulimwenguni burudani, siasa, michezo,utamaduni, na jamii.

Tukiwa na vipindi vya kila siku, *360° ON AIR* inakuletea interviews za wasanii maarufu, tukio la habari kutoka kwa wachezaji wa soka, na makala za kipekee zinazogusa maisha ya kila siku ya watu . Tunatoa taarifa za matukio muhimu, reviews za filamu na muziki, pamoja na commentary kuhusu mabadiliko ya kijamii na kisiasa.

Jiunge nasi kwa kupata habari za kipekee na burudani inayokufaa! Subcribe sasa na usikose video mpya kila wakati!

*Follow us on Social Media*:
Instagram: [@360° ON AIR]
Twitter: [@360° ON AIR]
Facebook: [@360° ON AIR]

#360°ONAIR #AfrikaMashariki #Habari #Burudani #Michezo #Ulimwengu #Wasanii #Siasa