Mpina Arejea Kwa Kishindo Bungeni, Aibua Mapya Sakata la Bandari la DP World
Автор: The Chanzo
Загружено: 2024-11-07
Просмотров: 43039
Mbunge wa jimbo la Kisesa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Luhaga MpIna, amerejea rasmi bungeni baada ya kutumikia adhabu ambapo leo Novemba 7, 2024, amechangia mjadala kuhusu mpango wa maendeleo wa Serikali.
Katika mchango wake Mpina ameitaka Serikali kuleta Bungeni mikataba ya uendeshaji ambayo imeingia na DP World ambao tayari wameanza kazi.
Katika wasilisho lake, Mpina alitumia neno kodi badala ya tozo zinazokusanywa na DP World, jambo ambalo amelazimika kulisahihisha baada ya Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuomba muongozi kwa Naibu Spika.
Mpina ametumia nafasi hii kuibua mapya sakata la bandari la DP World.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: