Hii Tiba Ya asili inatibu magonjwa mengi sana, angalia tulivyotibu minyoo kwa kuku, majani ya mpapai
Автор: KingoFarm
Загружено: 2025-09-01
Просмотров: 12891
Siri ya Majani ya Mpapai: Tiba Asili ya Minyoo kwa Kuku
Je, unajua kwamba majani ya mpapai ni dawa ya asili yenye nguvu dhidi ya minyoo kwa kuku? 🐓🌿
Katika video hii nimekuonesha hatua kwa hatua jinsi ya kutumia majani ya mpapai kama tiba salama na nafuu kwa kuku wako.
Faida kubwa za tiba hii:
✅ Huzuia na kutibu minyoo kwa kuku
✅ Hupunguza gharama za dawa dukani
✅ Husaidia kuku kuwa na afya na kuongeza uzalishaji
💡 Usikose kuangalia mpaka mwisho ujifunze namna ya kutengeneza mchanganyiko huu wa asili.
👉 Kwa ushauri zaidi wa tiba asilia na mbinu bora za ufugaji, ungana nasi hapa KingoFarm.
🔖 YouTube Tags:
majani ya mpapai, tiba ya asili kwa kuku, minyoo kwa kuku, ufugaji wa kuku, dawa za kienyeji, KingoFarm, tiba ya kuku, ufugaji wa kisasa, afya ya kuku
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: