Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

NDEGE IKIANGUKA UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR, ZAA YAJIPIMA UFANISI

Автор: ASAM Online TV

Загружено: 2026-01-26

Просмотров: 3767

Описание:

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar (ZAA) imefanya zoezi la utayari ikiwa ni sehemu ya majukumu yake ya kawaida ya usalama wa anga, kwa lengo la kupima uwezo wa kukabiliana na matukio ya dharura yanayoweza kutokea katika viwanja vya ndege.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Umma ZAA, Mulhat Yussuf Said, amesema zoezi hilo hulenga kupima ufanisi wa mifumo ya dharura, uwezo wa watendaji wa sekta ya anga pamoja na kuimarisha uratibu kati ya taasisi na wadau wa ulinzi, usalama na afya.

Ameeleza kuwa mazoezi hayo hufanyika kwa mujibu wa miongozo ya kitaifa na kimataifa ili kuhakikisha viwango vya ulinzi na uendeshaji wa viwanja vya ndege vinazingatiwa ipasavyo, sambamba na kubaini changamoto na maeneo yanayohitaji maboresho.

Kwa upande wake, Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume, Amani Hamduni Zuberi, amesema zoezi hilo ni sehemu ya kutekeleza matakwa ya viwango vya kimataifa vya viwanja vya ndege. Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar, Makame Hatibu Makame, amesema zoezi hilo limeongeza uelewa wa vitendo kuhusu kiwango cha utayari wa kukabiliana na maafa.

#AsamOnlineTV #ZAA #UsalamaWaAnga #ViwanjaVyaNdege #Zanzibar #Utayari #Maafa

NDEGE IKIANGUKA UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR, ZAA YAJIPIMA UFANISI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Mahakama Kuu Zanzibar yasalimu amri kwa Bara yasema haina uwezo wa kusikiliza kesi za ubunge za ACT

Mahakama Kuu Zanzibar yasalimu amri kwa Bara yasema haina uwezo wa kusikiliza kesi za ubunge za ACT

HIGHLIGHT| Azam 2 - 1 Nairobi United, CAF CONFEDERATION CUP 2025/2026

HIGHLIGHT| Azam 2 - 1 Nairobi United, CAF CONFEDERATION CUP 2025/2026

KAMA ULAYA: SHUHUDIA MSAFARA WA MABASI MAPYA YA UMEME YALIVYOKATIZA MITAA YA ZANZIBAR

KAMA ULAYA: SHUHUDIA MSAFARA WA MABASI MAPYA YA UMEME YALIVYOKATIZA MITAA YA ZANZIBAR

Katiba haiilazimishi ACT kuingia GNU Zanzibar ndani ya siku 90  - Mwanasheria

Katiba haiilazimishi ACT kuingia GNU Zanzibar ndani ya siku 90 - Mwanasheria

ASENGA AIBUA ISHU ya MTOTO wa RAIS SAMIA KUPEWA UNAIBU WAZIRI - SAKATA la ABDUL - ''NONGWA TU''

ASENGA AIBUA ISHU ya MTOTO wa RAIS SAMIA KUPEWA UNAIBU WAZIRI - SAKATA la ABDUL - ''NONGWA TU''

DKT. MZURI ISSA ALI AAGA UKURUGENZI TAMWA ZANZIBAR

DKT. MZURI ISSA ALI AAGA UKURUGENZI TAMWA ZANZIBAR

KIMENUKA! Mbunge Awacharukia Wabunge Wanaoidharau Zanzibar

KIMENUKA! Mbunge Awacharukia Wabunge Wanaoidharau Zanzibar

BABU MSOMI AIULIZA CCM MASWALI MAGUMU: KWA NINI WAZEE ZANZIBAR WANALIPWA? KWA NINI WANALALA BUNGENI?

BABU MSOMI AIULIZA CCM MASWALI MAGUMU: KWA NINI WAZEE ZANZIBAR WANALIPWA? KWA NINI WANALALA BUNGENI?

MASHEIKH ZANZIBAR WAKEMEA VITENDO VISIVYO VYA KIUNGWANA BARABARANI

MASHEIKH ZANZIBAR WAKEMEA VITENDO VISIVYO VYA KIUNGWANA BARABARANI

BREAKING NEWS: Mahakama Kuu Z'bar yasema haiwezi kusikiliza kesi wabunge ACT

BREAKING NEWS: Mahakama Kuu Z'bar yasema haiwezi kusikiliza kesi wabunge ACT

Мужчина, которого ударили кулаком в рот, чтобы заставить представителей власти покинуть место про...

Мужчина, которого ударили кулаком в рот, чтобы заставить представителей власти покинуть место про...

The First Impressions Of West African Country With The Kindest People - Accra, Ghana 🇬🇭

The First Impressions Of West African Country With The Kindest People - Accra, Ghana 🇬🇭

LIVE 🔴: E SPORTS YA EFM   - JANUARY 27 - 2026

LIVE 🔴: E SPORTS YA EFM - JANUARY 27 - 2026

Rodzinny horror w Ustce. Funkcjonariusz SOP zabił 4-letnią córkę

Rodzinny horror w Ustce. Funkcjonariusz SOP zabił 4-letnią córkę

Maajabu! Bibi azuia gari na pikipiki zisiondoke Stendi Arusha, ushirikina watajwa

Maajabu! Bibi azuia gari na pikipiki zisiondoke Stendi Arusha, ushirikina watajwa

ZECO YAFANUA SABABU ZA KUKATIKA UMEME MARA KWA MARA ZANZIBAR

ZECO YAFANUA SABABU ZA KUKATIKA UMEME MARA KWA MARA ZANZIBAR

MWEKEZAJI AUZIWA MAKABURI ZANZIBAR

MWEKEZAJI AUZIWA MAKABURI ZANZIBAR

WANANCHI WA KOKOTA WARIDHISHWA NA UMEME WA JUA

WANANCHI WA KOKOTA WARIDHISHWA NA UMEME WA JUA

''ZANZIBAR IPEWE NAFASI'' MBUNGE KING ashusha PONTI kuhusu MUUNGANO

''ZANZIBAR IPEWE NAFASI'' MBUNGE KING ashusha PONTI kuhusu MUUNGANO

ANGALIZO LATOLEWA NA ZECO

ANGALIZO LATOLEWA NA ZECO

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com