02. Variables na Data Types (Int vs Double) | Type Casting | Java OOP Course
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2025-12-26
Просмотров: 109
Unajua kompyuta inahifadhi vipi taarifa (data) kwenye memory? Kwenye video hii, tunaangalia dhana ya Variables na jinsi ya kuchagua Data Type sahihi ili program yako ifanye kazi kwa ufanisi.
Pia, tunajifunza kitu kinaitwa Type Casting, jinsi ya kubadilisha data kutoka aina moja kwenda nyingine (mfano: Namba ya desimali kuwa namba nzima) na hatari ya kupoteza data ukikosea.
Yatakayojadiliwa (Key Takeaways):
📦 Mental Model: Kufikiria Variables kama "Maboksi" au "Vifaa" vya kutunzia vitu.
🔢 Primitive Data Types: Tofauti ya int, double, char, na boolean.
⚠️ Strict Typing: Kwa nini Java ni "Strict" kwenye aina za data.
🔄 Type Casting: Tofauti ya Implicit (Automatic) na Explicit (Manual) casting.
💻 Practical Demo: Kuandika program ya VariablesDemo kwenye VS Code.
Homework: Tengeneza program inayoitwa DukaLangu.
👉Unda variables za kuhifadhi: Jina la bidhaa (String), Bei (double), na Idadi (int).
👉Jaribu kuweka desimali (mfano 5.5) kwenye int uone error unayopata.
👉Print matokeo kwenye Console.
🔔 Subscribe ili usipitwe na somo la User Input (Scanner) linalofuata.
🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥
Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako.
⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀
──
🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪
─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku.
───────
✅ ─Usisahau: ─
👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara
1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255
🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates
2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA)
───────
🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee.
🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─
📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
───────
🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja!
#java #oop #jifunzenamohamed
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: