05. Arrays na Strings | Jinsi ya Kutunza Data Nyingi | Java OOP Course
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2025-12-28
Просмотров: 93
Umechoka kuandika variables 100 kwa ajili ya wanafunzi 100? Kwenye video hii, tunajifunza Arrays, njia rahisi ya kuhifadhi data nyingi kwenye variable moja tu (kama Trei ya Mayai).
Pia, tunaangalia Strings na kosa kubwa ambalo beginners wengi hufanya wanapolinganisha maneno. Je, unajua kwa nini password == "siri" inaweza kukataa hata kama password ni sahihi?
Yatakayojadiliwa (Key Takeaways):
📦 Arrays Explained: Dhana ya Array kama "Sanduku la Posta" au "Trei ya Mayai".
0️⃣ Zero-Based Indexing: Kwa nini Java inaanza kuhesabu na 0 badala ya 1.
🚫 Common Error: Kuelewa ArrayIndexOutOfBoundsException.
🔤 String Secrets: Tofauti kubwa kati ya primitive char na Object String.
⚠️ The String Trap: Kwa nini lazima utumie .equals() badala ya ==.
💻 Practical Projects: Kutengeneza Marks Analyzer na Simple Login System.
Homework Challenge: Tengeneza program inayoitwa RafikiList.
1️⃣Tumia Scanner kuingiza majina ya marafiki 3 kwenye Array.
2️⃣Print majina hayo yote yakiwa katika HERUFI KUBWA (Uppercase).
3️⃣Kidokezo: Tumia stringName.toUpperCase().
🔔 Subscribe kwa mwendelezo.
🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥
Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako.
⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀
──
🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪
─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku.
───────
✅ ─Usisahau: ─
👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara
1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255
🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates
2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA)
───────
🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee.
🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─
📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
───────
🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja!
#java #oop #jifunzenamohamed
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: