12. Jina Moja, Kazi Nyingi | Jifunze Method Overloading (Java OOP)
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 1
Unashangaa kwanini println() inaweza kuprint namba, maneno, na boolean bila kubadilisha jina? Hiyo sio bahati mbaya, inaitwa Method Overloading.
Katika video hii, tunahitimisha Sehemu ya 2 kwa kishindo! Tunajifunza jinsi ya kuandika Overloaded Methods, mbinu ya kutumia jina moja la method kufanya kazi tofauti kulingana na data unayoingiza (Parameters).
Tunatumia mfano wa Blender na Calculator kuelezea dhana hii ngumu ya Compile-Time Polymorphism kwa lugha rahisi. Pia, nakuonyesha sheria kuu mbili za kuzingatia ili usipate Compilation Error.
Hongera kwa kumaliza Sehemu ya 2! Je, uko tayari kwa Sehemu ya 3 (Inheritance)? Comment "LEVEL 3" nijuwe kama tuko pamoja! 👇
🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥
Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako.
⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀
──
🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪
─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku.
───────
✅ ─Usisahau: ─
👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara
1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255
🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates
2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA)
───────
🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee.
🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─
📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
───────
🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja!
#overloading #method #java
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: