MAFURIKO MWANZA, MVUA YAKATA DARAJA LA MKUYUNI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2025-04-07
Просмотров: 4451
Mvua iliyoonyesha usiku wa kuamkia leo, Aprili 8, 2025, imekatisha mawasiliano kati ya wakazi wa Nyegezi na katikati ya Jiji la Mwanza.
Mawasiliano hayo yalikatika baada ya daraja la Mkuyuni kufurika maji, jambo lililosababisha magari na wananchi kushindwa kupita.
Hata hivyo, kina cha maji kimeanza kupungua na tayari watu wameanza kupita kwa kutembea kwa miguu.
Imeandikwa na Mgongo Kaitira
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: