Mafuriko yasababisha watu 150 kukosa makazi Kahama
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-04-29
Просмотров: 954
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Mwashimbayi wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wameiomba serikali na wahisani kuwapatia msaada wa makazi na chakula baada ya nyumba zao kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani humo.
#AzamTVUpdates
Imehaririwa na Tuya Ibrahim na @moseskwindi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: