BREAKING: Tetemeko la ardhi laikumba Dodoma, Singida...wananchi waingiwa hofu
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-02-17
Просмотров: 15346
Tetemeko la ardhi lililopimwa kwa kiwango cha 4.9 limetokea leo majira ya saa 6 mchana jijini Dodoma na kuleta taharuki kwa wakazi wa jiji hili.
Akizungumza leo Ijumaa, Februari 17, 2023 kuhusu matetemeko hayo mjiolojia mwandamizi kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Gabriel Mbogoni amesema kuwa mengine ni la kipimo cha 4.3 lililotokea saa 2 kasoro robo asubuhi ya leo na jingine la 4.9 lililotokea jana saa 12 jioni.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: