Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Wasifu wa Mgombea Urais kwa tiketi ya Demokratiki Kamala Harris

Автор: VOA Swahili

Загружено: 2024-11-01

Просмотров: 8089

Описание:

Akitoka kutoka moja ya maeneo yenye mchanganyiko mkubwa na ya kiliberali hapa Marekani, mgombea urais wa Democratic Kamala Harris amekuwa katika nyanja ya siasa kati ya kuwa mwendesha mashtaka mkali na mwanamageuzi mwenye maono ya mbele.

Kamala Harris, anasema: “Mama yangu alikuwa kipaji, alikuw ana urefu wa futi tano, kahawia na mwenye lafudhi.” Hadithi ya Kamala Harris inanza mwaka 1964 alipozaliwa, Kwenye vitongoji mbali mbali na vyema maendeleo katika eneo la San Franscisco Bay. Mwandishi wa VOA Khadija Riyami anasimulia..
#wasifu
#kamalaharris #makamurais #jimbo #rais #mgombea #demokratiki #voa #voaswahili
- - - -
VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.

Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.

Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.

Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus
»Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI

»Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/
»Upende ukurasa wetu wa Facebook:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika Instagram:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika X:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika YouTube:    / @voaswahili  

Wasifu wa Mgombea Urais kwa tiketi ya Demokratiki Kamala Harris

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Duniani Leo

Duniani Leo

Северная Корея - о чем врут и блогеры, и пропаганда! Реальная жизнь, Часть ПЕРВАЯ!

Северная Корея - о чем врут и блогеры, и пропаганда! Реальная жизнь, Часть ПЕРВАЯ!

Duniani Leo

Duniani Leo

Duniani Leo

Duniani Leo

⚡️ Лавров выдумал удар по Путину после встречи Зеленского и Трампа? | Оперативные новости. Вечер

⚡️ Лавров выдумал удар по Путину после встречи Зеленского и Трампа? | Оперативные новости. Вечер

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Novemba 01, 2024 | Jioni | Swahili Habari leo.

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Novemba 01, 2024 | Jioni | Swahili Habari leo.

Duniani Leo

Duniani Leo

Uongozi wa chama cha Democratic wamuonya Trump| VOA Swahili

Uongozi wa chama cha Democratic wamuonya Trump| VOA Swahili

🔴 Путин ответил на план Трампа? Ответил ФЕЙКАМИ и ОБСТРЕЛАМИ!

🔴 Путин ответил на план Трампа? Ответил ФЕЙКАМИ и ОБСТРЕЛАМИ!

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 01/11/2024

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 01/11/2024

Le 64' - L'actualité internationale du mardi 05 novembre 2024 - TV5MONDE

Le 64' - L'actualité internationale du mardi 05 novembre 2024 - TV5MONDE

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Novemba 07, 2024 | Mchana | Swahili Habari leo.

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Novemba 07, 2024 | Mchana | Swahili Habari leo.

ЭТО СЛОМАЛО ПЛАН ПУТИНА! Переговоры США и Украины. Зеленский ДОДАВИЛ в Флориде. У Путина ИСТЕРИКА!

ЭТО СЛОМАЛО ПЛАН ПУТИНА! Переговоры США и Украины. Зеленский ДОДАВИЛ в Флориде. У Путина ИСТЕРИКА!

🔴#LIVE; SUPA BREAKFAST: UHABA WA MAJI MWIBA / ACT YASUSIA UCHAGUZI / TRUMP NA PUTIN WAZUNGUMZA

🔴#LIVE; SUPA BREAKFAST: UHABA WA MAJI MWIBA / ACT YASUSIA UCHAGUZI / TRUMP NA PUTIN WAZUNGUMZA

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Oktoba 02, 2024 | Mchana | Swahili Habari leo

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Oktoba 02, 2024 | Mchana | Swahili Habari leo

Япония покончила с пацифизмом? Новый оборонный бюджет вызывает вопросы | Vantage With Palki Sharm...

Япония покончила с пацифизмом? Новый оборонный бюджет вызывает вопросы | Vantage With Palki Sharm...

Donald Trump ou Kamala Harris ? Vote historique aux États-Unis

Donald Trump ou Kamala Harris ? Vote historique aux États-Unis

Безумные Случаи на Ледяной Дороге, Снятые на Камеру

Безумные Случаи на Ледяной Дороге, Снятые на Камеру

HISTORIA NA SAFARI YA KISIASA YA SENETA KAMALA HARRIS

HISTORIA NA SAFARI YA KISIASA YA SENETA KAMALA HARRIS

Waafrika waishio Marekani nao watafanya maamuzi katika uchaguzi wa rais

Waafrika waishio Marekani nao watafanya maamuzi katika uchaguzi wa rais

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]