Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Waafrika waishio Marekani nao watafanya maamuzi katika uchaguzi wa rais

Автор: VOA Swahili

Загружено: 2024-10-02

Просмотров: 1993

Описание:

Wamarekani wako tayari kupiga kura mwezi Novemba katika uchaguzi ambao unatarajiwa kuwa na ushindani wa karibu sana katika nafasi ya urais. Kama ilivyo kwa Wamarekani wengi, wanachama wa jamii ya Waafrika wanaoishi hapa nchini wanakabiliwa na maamuzi mazito kuamua mwelekeo wa nchi utakavyokuwa.

VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.

Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.

Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.

Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus
»Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI

»Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/
»Upende ukurasa wetu wa Facebook:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika Instagram:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika X:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika YouTube:    / @voaswahili  

Waafrika waishio Marekani nao watafanya maamuzi katika uchaguzi wa rais

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Путин принял решение о вторжении / Резкое заявление президента

Путин принял решение о вторжении / Резкое заявление президента

Юлию Тимошенко обвиняют в коррупции. Что происходит?

Юлию Тимошенко обвиняют в коррупции. Что происходит?

Wasifu wa Mgombea Urais kwa tiketi ya Demokratiki Kamala Harris

Wasifu wa Mgombea Urais kwa tiketi ya Demokratiki Kamala Harris

За что в США ПОСАДИЛИ лидера криминальной России Вячеслава Иванькова

За что в США ПОСАДИЛИ лидера криминальной России Вячеслава Иванькова

Diaspora wa Marekani watoa maoni yao kuhusu uchaguzi

Diaspora wa Marekani watoa maoni yao kuhusu uchaguzi

Hofu ya vita yatanda Mashariki ya Kati | VOA Swahili

Hofu ya vita yatanda Mashariki ya Kati | VOA Swahili

🔴#Live: RUSSIA YATISHIA KUHARIBU SATELAITI ZA MAREKANI – DUNIANI LEO | VOA..

🔴#Live: RUSSIA YATISHIA KUHARIBU SATELAITI ZA MAREKANI – DUNIANI LEO | VOA..

Uchaguzi Marekani 2024: Wanachama wa Jamii ya Waafrika wakabiliwa na maamuzi magumu

Uchaguzi Marekani 2024: Wanachama wa Jamii ya Waafrika wakabiliwa na maamuzi magumu

Le Journal Afrique du mercredi 2 octobre 2024 - TV5MONDE

Le Journal Afrique du mercredi 2 octobre 2024 - TV5MONDE

Инженерное чудо под названием Панамский канал

Инженерное чудо под названием Панамский канал

Ընդդիմությունը շարունակում է վարկաբեկվել. Սոլովյովը վատ դրության մեջ դրեց նրանց

Ընդդիմությունը շարունակում է վարկաբեկվել. Սոլովյովը վատ դրության մեջ դրեց նրանց

Самые Опасные Дороги в Мире, по Которым Вы Не Захотите Проехать

Самые Опасные Дороги в Мире, по Которым Вы Не Захотите Проехать

TAHARUKI ARUSHA, MAZIKO YA TAJIRI WA MADINI YASIMAMA GHAFLA, MKE AZUIA

TAHARUKI ARUSHA, MAZIKO YA TAJIRI WA MADINI YASIMAMA GHAFLA, MKE AZUIA "MAANDALIZI YAMEFANYIKA"

Дания не убедила Трампа, Дугин против Чебурашки, Дерипаска предрек беду. Липсиц, Подоляк, Филиппенко

Дания не убедила Трампа, Дугин против Чебурашки, Дерипаска предрек беду. Липсиц, Подоляк, Филиппенко

⚡ Списки палачей СОСТАВЛЕНЫ? Трамп призвал иранцев брать власть в свои руки!

⚡ Списки палачей СОСТАВЛЕНЫ? Трамп призвал иранцев брать власть в свои руки!

MAUAJI TANGA! MKE NA DADA WA KAZI WANYONGWA NA KUTOBOLEWA MACHO WAKIWA NDANI, MUME HAJULIKANI ALIPO

MAUAJI TANGA! MKE NA DADA WA KAZI WANYONGWA NA KUTOBOLEWA MACHO WAKIWA NDANI, MUME HAJULIKANI ALIPO

Майк Тайсон против Викинга! Это Было Жёстко…

Майк Тайсон против Викинга! Это Было Жёстко…

Метро Пхеньяна, Северная Корея (2024)

Метро Пхеньяна, Северная Корея (2024)

Дезертир стал НАДЕЖДОЙ на выживание ЦЕЛОЙ ДЕРЕВНИ | Документальная драма

Дезертир стал НАДЕЖДОЙ на выживание ЦЕЛОЙ ДЕРЕВНИ | Документальная драма

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com