KUMEKUCHA MANISPAA KAHAMA, BENKI YA DUNIA YAMWAGA MAMILIONI YA FEDHA, WANANCHI WASHUKURU SERIKALI!
Автор: KAHAMA TV ONLINE
Загружено: 2022-07-18
Просмотров: 610
BENKI ya Dunia imeipatia Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkopo kwa ajili ya ujenzi wa kilometa 22 za barabara kwa kiwango cha lami ikiwa ni katika utekelezaji wa mradi wa uboreshaji Halmashauri za Miji nchini.
Mbali ya ujenzi wa barabara za kiwango cha lami pia fedha hizo zitatumika kwenye uboreshaji wa maeneo mengine ya huduma za kijamii ikiwemo ujenzi wa vituo vya mabasi na masoko ya kisasa.
Pamoja na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami, hapa Mkurugenzi Msumba anazungumzia pia uboreshaji wa sekta ya elimu ikiwemo matumizi ya fedha za UVIKO 19, mikopo kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu na ruzuku kwa wakulima.
Kwa upande mwingine Msumba amezungumzia kuwepo kwa ongezeko la Mapato ya ndani ya Manispaa pamoja na kwamba Mgodi wa Buzwagi kwa sasa hauchangii chochote baada ya kufungwa rasmi.
https://www.youtube.com/channel/UCcCo...

/ kahamatvonline
#KAHAMATVONLINE #HABARIZAHIVIPUNDE
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: