Peter Lijualikali Vs Spika Job Ndugai Kwenye Sakata la Makinikia
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-06-13
Просмотров: 43619
Peter Lijualikali Vs Spika Job Ndugai Kwenye Sakata la Makinikia
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
Mbunge wa Ulanga, Peter Lijualikali amewashukia wabunge wa CCM kuhusu sakata la mchanga wa madini huku akieleza kuwa mikataba mibovu ndiyo imechangia kusababisha hasara zinazoonekana hivi sasa kwa serikali yetu.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
Lijualikali amelikumbusha bunge kuwa wakati wabunge Peter Msigwa na Zitto Kabwe wakiomba bunge lichambue kwa kina kabla ya kupitisha mikataba na sheria hizo bungeni, Zitto aliondolewa kwa kukiuka kanuni na taratibu za bunge hivyo akakaa nje kwa miezi kadhaa.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
Wakati huo huo Spika Job Ndugai amemtaka Lijualikali kufuata kanuni za bunge na sio kutumia maneno ya kejeli wakati akiwasilisha hoja zake.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: