Mhe. Omar Said Shaaban akitoa wito kwa Wananchi wote kushiriki katika tamasha la Fahari ya Zanzibar
Автор: zeea_agency
Загружено: 2024-08-30
Просмотров: 19
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe. Omar Said Shaaban akitoa wito kwa Wananchi wote kushiriki katika tamasha la Fahari ya Zanzibar litakalofanyika Dimani Mjini Magharib Unguja kuanzia tarehe 20-27/09/2024.
“Fahari ya Zanzibar Kuimarisha Uwezeshaji Kidijitali”
Karibuni sana
#fahariyazanzibar
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: