NALA: USHAURI WA MWAZILISHI WA NALA KWA VIJANA TANZANIA: Benjamin Fernandes founder wa NALA
Автор: Jitambueforums
Загружено: 2019-04-29
Просмотров: 7163
Tarehe 27/04/2019, limefanyika kongamano la uwekezaji "The Young Investors conference' liloandaliwa na Taasisi ya Fedha ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(DUFA) kwa lengo la kuhamasisha Vijana wa kitanzania Kuwekeza. Katika kongamano hilo Jitambueforums Tv ilizungumza na wahamasishaji, wadau wa soko la hisa, muhakilishi kutoka bank kuu ya Tanzania (B.O.T). pamoja na BENJAMINI FERNANDES kijana Mtanzania aliekataa kufanya kazi katika KAMPUNI YA BILI GATE na kuja kuanzisha application yake ya NALA, kwa lengo kuhakikisha kuwa vijana na jamii wanajifunza kitu kutoka kwao. Hii ni sehemu ya mahojiano kutoka katika kongamano hilo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: