UPUNGUFU WA DAMU KWA WAJAWAZITO
Автор: MEWATA TANZANIA
Загружено: 2025-09-23
Просмотров: 41315
MEWATA HEALTH SESSION: Upungufu wa Damu kwa Wajawazito
Afya ya mama ni msingi wa afya ya familia. Katika kipindi cha leo tupo na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya wanawake na uzazi Dr Rukia Msumi mwanachama wa chama cha madaktari wanawake Tanzania MEWATA akizungumza kwa kina kuhusu upungufu wa damu wakati wa ujauzito, chanzo chake, madhara yake kwa mama na mtoto, hatua muhimu za kinga, utambuzi wa mapema na tiba.
Kipindi hiki kinatoa maelezo sahihi na ya kina yatakayokusaidia:
📌Kutambua dalili za upungufu wa damu kwa mama mjamzito.
📌Kuelewa hatari zinazoweza kujitokeza kwa mama na mtoto.
📌Kupata mbinu rahisi za kinga na ushauri wa kiafya unaofaa.
👉 Jiunge nasi, jifunze na usaidie kusambaza elimu hii kwa familia, marafiki na jamii nzima. Kila sehemu unayoishi, zingatia afya ya mama na mtoto!
🔥🔥VIVA MEWATA VIVA🔥🔥
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: