Madhila ya dola kwa Wazanzibari kabla ya Januari 2001 | JANUARI YA DAMU | SEHEMU YA PILI
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2026-01-18
Просмотров: 732
Hii ni Sehemu ya Pili ya Mfululizo wa JANUARI YA DAMU, unaoyaangalia matukio na matokeo ya ukandamizaji wa dola dhidi ya maandamano ya amani ya Januari 27, 2001. Mzungumzaji ni Maalim Said Miraj Abdallah, aliyekuwa mkurugenzi wa vijana na ulinzi wa Chama cha Wananchi (CUF) wakati wa maandamano hayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: