Wamiliki wa viwanda vya tofali jiji la Dodoma katika Msako mkali..... Tazama!
Автор: Dodoma City TV
Загружено: 2018-10-12
Просмотров: 1381
Katika kutekeleza agizo la Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan juu ya kutunza mazingira, wataalamu wa mazingira kutoka jiji la Dodoma kwa kushirikiana na viongozi wa kata ya Ntyuka, leo wamefanya oparesheni ya kukagua risiti za malipo ya vifusi vya mchanga kwenye viwanda vya tofali vilivyopo kata hiyo ili kubaini watu wanaochimba mchanga na kuusafirisha usiku katika eneo la mtaa wa Chidachi lililozuiliwa kwa mujibu wa sheria za mazingira.
Zaidi tembelea ukurasa wetu wa Facebook: Dodoma Jiji, Twitter: @DodomaJiji, Youtube: Dodoma City TV na Tovuti yetu: www.dodomacc.go.tz
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: