UNAHITAJI KIWANJA JIJINI DODOMA?
Автор: LandLai Investment
Загружено: 2023-02-25
Просмотров: 1020
Kwa wadau wanaotaka kuishi na kuwekeza jijini Dodoma, karibu sana LandLai Investment tukupatie viwanja vilivyokaa sehemu nzuri iwe kwa makazi au biashara. Sifa kubwa ya viwanja vyetu vipo katika sehemu zenye mikakati vikiambatana na huduma za kijamii pamoja na miundombinu imara.
Kwa wale walio nje ya Dodoma au nje ya nchi ya Tanzania , tuna utaratibu mzuri wa kuhakikisha uwekezaji wako unaenda sawia na kile ulichopanga kuanzia uwazi wa huduma zetu mpaka makabidhiano ya nyaraka zote zinazohusu kiwanja
Unaweza kuwasiliana Nasi kupitia 0656488927 ili kufahamu zaidi. Ahsanteni na karibu tuwekeze pamoja
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: