Simulizi ya watoto pacha waliotenganishwa, kwasasa kila mmoja amebaki na mguu mmoja
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-11-24
Просмотров: 79
Siku ya kimataifa ya pacha walioungana imeadhimishwa leo, na katika kuikumbuka siku hiyo Azam News inaangazia hali ya watoto mapacha waliotenganishwa baada ya kuzaliwa wakiwa wameungana, ambao kwa sasa wanaendelea vizuri huku wazazi wao wakipata matumaini kutokana na afya zao kuendelea kuimarika, ingawa bado kuna changamoto mbalimbali za mahitaji yao.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: