Ufugaji wa ndege jijini Nairobi
Автор: RFI Kiswahili
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 78
#fypシ ゚゚ ##nairobi #kenya #environment #mazingira
Rodgers Oloo Magutha anayejulikana kwa jina la utani “Birdman wa Nairobi” ni kijana ambaye amefahamika kote jijini Nairobi kwa mtindo wake wa kipekee wa kuishi akiwa amezungukwa na ndege anaowaokoa, kuwatibu na kujenga nao uhusiano wa karibu.
🎥AP
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: