Watu zaidi ya 10 wauawa katika machafuko Uganda, M23 watangaza kuondoka Uvira
Автор: RFI Kiswahili
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 890
#ugandaelections #drc #iran
Makala haya yameangazia uchaguzi wa nchini Uganda matokeo yakisubiriwa kutolewa leo, mkutano wa Lome nchini Togo kuhusu mustakabali wa amani ya mashariki mwa DR Congo, hali ya nchini Sudan, Somalia, na ugunduzi wa kaburi la pamoja lenye miili ya wahamiaji 21 huko Libya, hotuba ya rais Macron mbele ya maafisa wa jeshi la nchi yake na kauli ya Marekani kuhusu waandamanaji wa Iran
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: