Tumia Kitunguu maji kikavu kutibu mafua kwa siku 2 tuu
Автор: KingoFarm
Загружено: 2025-09-17
Просмотров: 5757
🧅💨 Mafua kwa kuku ni tatizo linalowasumbua wafugaji wengi, hasa wakati wa mabadiliko ya hali ya hewa. Katika video hii tunakufundisha namna ya kutumia kitunguu maji kikavu kutibu mafua ya kuku kwa siku 2 tu!
Utajifunza:
✅ Faida za kitunguu maji kikavu kwa afya ya kuku
✅ Jinsi ya kutengeneza dawa hatua kwa hatua
✅ Namna ya kuwapa kuku ili wapone haraka
Hii ni tiba rahisi, ya asili na ya gharama nafuu kwa kila mfugaji.
👉 Usisahau ku-subscribe kwenye KingoFarm kwa elimu zaidi za tiba asilia na mbinu bora za ufugaji wa kuku.
#KingoFarm #TibaAsiliaKwaKuku #KitunguuMaji #MafuaKwaKuku
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: