Rais Ruto asema anaandaa Kenya kufika kiwango cha mataifa yaliyostawi katika miaka 30 ijayo
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-11-30
Просмотров: 232
Rais William Ruto amesema anaandaa nchi hii kupiga hatua kubwa na kufika kiwango cha mataifa yaliyostawi katika muda wa miaka 30 ijayo. Akiongea katika kanisa la AIC Milimani Nairobi, alisema kuwa huduma muhimu kama afya, elimu na uchumi ambazo zilikuwa na changamoto sasa zimeanza kurekebishwa na sasa Kenya iko tayari kuanza safari ya maendeleo makubwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: