Huyu mtoto anaitwa Nipa Nag na ndiye aliyeimba wimbo maarufu nchini Tanzania wa watoto.
Автор: Tulipotoka Zamani
Загружено: 2024-03-28
Просмотров: 577
Nipa Nag alichukuliwa na Bendi ya watanzania wenye asili ya kiasia iitwayo Varda Arts iliyokuwa na makazi yake maeneo ya Msasani jijini Dar Es salaam ili kuendelezwa kwenye fani ya muziki. Wimbo huu ulirekodiwa Redio Tanzania (RTD) mwishoni mwa mwaka 1987. Hili onesho lilifanyika mwaka 1988 katika ukumbi wa Vijana Social Hall maeneo ya Kinondoni. Wimbo huu ulikuja baadae kupata umaarufu sana kwa watoto. Nipa aliondoka Tanzania kwenda India kwa ajili ya masomo ya muziki na kwa sasa ni Profesa wa Sanaa katika Music kwenye Chuo Kikuu cha Pune nchini India.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: