UCHAMBUZI | wanachi wapewa tahadhari uwepo wa mvua kubwa ivi karibuni
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 45
Mamlaka ya hali ya hewa imetabiri mabadiliko ya hali ya hewa ikiwemo uwepo wa mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha hivi karibuni,
Uwepo wa mvua hizo inaweza kuwa faida chanya au hasi kwa wa kulima katika maeneo yanayotarajiwa kuwa na mvua.
Ungana na Afisa Kilimo Mkuu wa mkoa wa Dododma Abraham Benard akielezea jitihada zinazotakiwa kufanyika kwa wakazi wa mkoa huo ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya hali ya hewa ili waweze kupata kilimo chenye tija.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: