UCHANGANUZI | Nini kinakwamisha uzalishaji mkubwa wa dawa nchini licha ya uwepo wa viwanda vingi?
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-01-22
Просмотров: 149
Tanzania karibu zaidi ya viwanda 20 vinavyojihusisha na uzalishaji wa dawa na vifaa tiba lakini hata hivyo lengo la kuwa na uzalishaji mkubwa wa dawa bado halijafikiwa.
Wawekezaji wa ndani wanasema bado wanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazosababisha kuzorota kwa uzalishaji huo.
Nurdin Selemani anaangazia hilo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: