Mkate wa Mayai Maziwa na Mafuta With English Subtitles
Автор: Laylunnar Delicacies
Загружено: 2020-05-28
Просмотров: 4735
For big portion recipe
Mkate wa Mayai,Oil,Milk🍞
By Laymoz's Zenji Delicacies
👉🏼Mahitaji
8 mayai makubwa
1 tsp white vinegar or lemon
1 cup sukari kijae kidogo
2 cups unga mfuto
60 ml mafuta
80 ml maziwa fresh
Vanilla na hiliki kiasi
1 tsp baking powder(optional ) unaweza kufanya bila ya BP
👉🏼Mataarisho
Washa jiko 180c lipate moto
Changanya maziwa mafuta hiliki na vanila kwenye kibakuli weka upande
Weka kiini na ute mbali mbali
Kwenye bakuli safi anza kupiga ute na vinegar kwa mashine ukianza kufanya povu anza kueka sukar slowly huku unapiga mpaka imalizike yote na mwisho itakua nzito ambao kama (meringue) haimwagiki
Sasa chukua mchapo changanya viini kisha mimina mara mbili koroga Pole Pole ili usije ukakatiza ule mvimbo wa ute
Weka 1cup ya unga na u fold bado kwa mchapo Polepole alafu weka another 1cup fold tena mpaka unga uchanganyike na baking powder
Sasa chukua spatula mimina ule mchanganyiko wako wa maziwa na fold tena uzuri utaona mixture yako nzuri na bado iko imepanda
Chombo chako kilokua tayari mimina ndani kisha chukua kijiti ukoroge kwa ndani slowly kutoa bubbles than bake kwa dakika mpaka 45 inategemea na oven yako
Toa wacha upoe na tayari kwa kuliwa
☕🍞 Enjoy
By Laymoz's Zenji Delicacies
‼Kidokezo
Ukitaka mdogo pima nusu yake ila vinegar kipimo icho icho
Usije kukoroka sana wakati wa kufold unga itarudi chini
Sio lazima mashine unaweza kufanya toka mwanzo na mchapo ila hakikisha mpaka ivimbe hasaa utee nyeupee na mzito
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: