Ajali ya wanafunzi Majoreni
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-07-09
Просмотров: 7334
Wazazi wa shule ya msingi na sekondari msingi ya Majoreni eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale wametaka mwalimu mkuu wa shule hiyo kuhamishwa baada ya kuruhusu wanafunzi kubebwa na lori wakisafiri kwenda michezoni. Lori hilo lilipata ajali wakati wanafunzi hao walikua wakirudi kwao kutoka shule ya Kidimu ambako michezo hiyo ilikua inafanyika.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: