| MWANAMKE BOMBA | Mwanajiolojia Alice Githiomi kutoka Msambweni
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2021-06-08
Просмотров: 3728
Ndoto yake ya kuwa mwananajiololia ilitokana na babake, lakini hakudhania kwamba ingetimia na kufikia kiwango alicho sasa. Namzungumzia Alice Githiomi ambaye amekua na kusomea katika eneo la Msambweni huko pwani, na bidii yake imemfanya kuwa kielelezo kwa wasichana wengi. Hii leo mwanajiolojia huyu ambaye pia meneja mwenye umri mdogo katika kampuni ya Base Titanium ndiye tunamuangazia kama mwanamke bomba wiki hii.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: