Wakulima wa muhogo walilia soko 'mbadala' wa China
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-11-16
Просмотров: 294
Wakulima wa zao la muhogo nchini wameiomba serikali kuwatafutia soko mbadala la zao hilo iwapo soko la China lililotangazwa na Serikali na kupelekea wakulima kuhamasika kulima kwa wingi zao hilo limeshindwa kuwanufaisha wakulima kutokana na changamoto ya bei.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: