Waziri Mwakyembe baada ya kumaliza msiba wa mkewe
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-07-26
Просмотров: 11580
Jumanne ya July 26 ikiwa ni siku 11 zimepita toka utokee msimba wa mke wa waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo Dr Harrison Mwakyembe, leo ameongea na vyombo vya habari nyumbani kwake Kunduchi Dar es Salaam. Waziri Mwakyembe leo ameaongea na vyombo vya habari na kuwashukuru wote waliyoshiriki kumfariji na waliyoshiriki katika mazishi ya mkewe Lucy George Mwakyembe ambaye alifariki baada ya kuugua kwa muda.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: