NYAMOGA ATEMA NYONGO, ASEMA: “YALIYOPITA NI NDWELE, TUGANGE YAJAYO”
Автор: PAMLOMO24
Загружено: 2025-09-08
Просмотров: 231
Iringa. Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Justin Lazaro Nyamoga (CCM), amesema amekubali kwa moyo mkunjufu uamuzi wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumtoa katika kinyang’anyiro cha ubunge, akisisitiza kuwa sasa anajikita zaidi kwenye mustakabali wa mbele.
Nyamoga alieleza kuwa pamoja na hatua hiyo, ataendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na kuunga mkono juhudi zote za chama kwa manufaa ya wananchi wa Kilolo na taifa kwa ujumla.
“Yaliyopita ni ndwele, tugange yajayo,” alisema Nyamoga kwa msisitizo.
________________________________________
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: