KAMATI YA KUFUATILIA MALALAMIKO YA WANANCHI WANAOPISHA UJENZI WA BARABARA YAUNDWA.
Автор: BONGO PLAY TELEVISION
Загружено: 2026-01-22
Просмотров: 3
Wakala wa Barabara Tanzania,TANROADS, kwa kushirikiana na wananchi wa kata za Inyala na Igonjo zilizopo Halmashauri za Wilaya ya Mbeya na Jiji la Mbeya wanaopisha ujenzi wa barabara ya mchepuko wa magari makubwa ya mizigo wameunda kamati ya kufuatilia malalamiko ya wananchi waliolipwa fedha za fidia kwa lengo la kupisha ujenzi wa barabara hiyo.
Akizungumzia uundwaji wa kamati hizo Mkuu wa Kitengo cha Miradi ya Maendeleo TANROADS Mkoa wa Mbeya Justine Mrope ameeleza sababu za kuunda kamati hizi.
Baadhi ya wananchi ambao tayari wameshalipwa fedha zao wanaishukuru serikali kupitia wakala wa Barabara Tanzania Tanroads, kwa uamzi wa kuunda kamati hizo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: